LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko aufunga mgodi wa MMC uliopo Mvomero mkoani Morogoro

Wasiliana na BMG Blog/ BMG Online TV kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wananchi pamoja na viongozi wa mgodi wa MMC uliopo katika Kijiji cha Mangae Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, baada ya kufanya ziara katika mgodi huo Jumatatu Disemba 10, 2018 ambapo pamoja na maagizo mengine, aliufunga mgodi huo kwa kukiuka sheria na taratibu za uwekezaji ikiwemo kulipa fidia kwa wananchi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Baadhi ya wakazi wa Vijiji vya Mangae na Mtipule wilayani Mvomero wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Baadhi ya wakazi wa Vijiji vya Mangae na Mtipule wilayani Mvomero wakiwa na bango lenye ujumbe wa kuomba Naibu Waziri awasaidie wapate fidia za maeneo yao pamoja na kutengenezewa barabara mbadala baada ya kuzuiliwa kupita katika eneo la mgodi wa MMC.
Sehemu ya mtambo wa kuchenjulia dhahabu uliosimikwa na mgodi wa MMC wilayani Mvomero.
Tazama BMG Online TV hapa chini

Serikali yasisitiza msimamo wa kuufunga mgodi wa kokoto wilayani Bagamoyo

No comments:

Powered by Blogger.