LIVE STREAM ADS

Header Ads

Manispaa ya Ilemela yapitisha bajeti ya mwaka 2019/20

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza leo Januari 09, 2018 limejadili na kuidhinisha makisio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Halmashauri hiyo ya Shilingi Bilioni 75.8 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020.

Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, John Wanga amesema makadirio ya bajeti hiyo yamelenga katika matumizi ya kawaida pamoja na matumizi ya miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo afya, elimu, maji, barabara pamoja na uvuvi.

No comments:

Powered by Blogger.