LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkurugenzi Ilemela aichambua bajeti ya Bilioni 75 kwa mwaka 2019/20

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, John Wanga ameichambua bajeti ya mwaka wa fedha 2019/20 iliyopitishwa jana Januari 09, 2019 na Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo ikikadiriwa kuwa shilingi Bilioni 75.8.

No comments:

Powered by Blogger.