LIVE STREAM ADS

Header Ads

Diwani Nyakato- "wanadai miezi 24, sisi Ilemela tungemgawana Wanga"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza limempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa hiyo, John Wanga (kulia), kwa kusimamia vyema shughuli mbalimbali ikiwemo miradi ya maendeleo huku wakiwa hawaidai Halmashauri kwani kuna baadhi ya Halmashauri nchini hazijawalipa madiwani hadi miezi 24.

Walitoa pongezi hizo jana Januari 09, 2018 kwenye kikao cha bajeti kilichojadili na kuidhinisha makisio ya mapato na matumizi ya bajeti ya Halmashauri hiyo ya Shilingi Bilioni 75.8 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela, Renatus Mulunga akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Naibu Meya, Wilbard Kilenzi na kulia ni Mkurugenzi John Wanga.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.