LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mataifa yatamani JPM "angekuwa" Rais wao japo miezi sita

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza (tazama video chini) kwenye maadhimisho ya miaka 42 ya tangu kuasisiwa kwa chama hicho, yaliyofanyika Februari 03, 2019 kwa Wikaya ya Nyamagana mkoani Mwanza ambapo alikuwa mgeni rasmi. 

Chama cha Mapinduzi kiliasisiwa na Februari 05, 1977 ikiwa ni muungano wa vyama viwili, TANU cha Tanganyika chini ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere pamoja na ASP cha Zanzibar chini ya Abeid Amani Karume.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Katibu wa CCM Mkoa Mwanza, Adam Ngalawa akizungumza kwenye maadhimisho hayo.
Viongozi mbalimbali mkoani Mwanza wakijitambulisha.
Utambulisho viongozi mbalimbali wa CCM mkoani Mwanza.
Utambulisho.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kushoto), akimlisha keki Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa Mwanza, Simon Mangelepa (kulia).
Mwenyekiti wa CCM Wilaya Nyamagana, Zebedayo Athuman (kulia, akimlisha keki mbunge wa jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula (kushoto).
Katika maadhimisho hayo, CCM ilivuna mamia ya wanachama na hapa baadhi yao wanakula kiapo baada ya kukabidhiwa kadi.
Maadhimisho ya miaka 42 ya Chama cha Mapinduzi wilayani Nyamagana yameungwa mkono na wilaya zote mkoani Mwanza ambapo shughuli mbalimbali za kijamii zimefanyika ikiwemo kukabidhi zawadi kwa watoto yatima katika Kituo cha SOS Igeregere Mahina, kushiriki usafi katika soko na Zahanati ya Buhongwa pamoja na mgeni rasmi kuweka jiwe la msingi ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Lwanhima.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.