CCM Misungwi yavuna wanachama 80 "salamu kwa upinzani"
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Daud Gambadu akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 42 tangu kuanzishwa chama hicho.
BMG Habari
Katibu wa CCM Wilaya Misungwi, Latifa Malimi akizungumza kwenye maadhimisho hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Misungwi, Kisena Mabuba akizungumza kwenye maadhimisho hayo.
Viongozi mbalimbali wilayani Misungwi.
Wanachama wa CCM wilayani Misungwi.
Wakereketwa wa CCM wilayani Misungwi wakiwa wakifuatilia maadhimisho hayo.
Wakereketwa wa CCM wilayani Misungwi.
Katika
kuadhimisha miaka 42 tangu kuasisiwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho
wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kimevuna wanachama wapya wapatao 80 huku
kikijipanga kurejesha maeneo yote yanayotawaliwa na upinzania katika chaguzi
zijazo.
Mwenyekiti
wa chama hicho wilayani Misungwi, Daud Gambadu aliyasema hayo wakati
akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 42 ya CCM, iliyofanyika katika Kijiji
cha Ng’ombe, Kata ya Igokelo.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: