LIVE STREAM ADS

Header Ads

Taasisi ya Haki Ardhi yawapiga msasa Wahariri na Wanahabari Tanzania

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Utetezi wa Haki za Ardhi (Haki Ardhi) Bw. Cathbert Tomitho akielezea kwa kina juu ya mfumo wa utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Na Fredy Njenje
Mada
Ofisa Programu wa Taasisi ya Utafiti na Utetezi wa Haki za Ardhi (Haki Ardhi) Bw. Joseph Chiombola akitoa mada juu ya Sheria za ardhi kwa wanawake.
Bw. Nuhu Kitaluka akitoa mada juu ya mabadiliko ya Tabianchi, athari zake kwa wazilishaji wadogo wadogo katika kilimo,ufugaji na afya pia alitoa mifano kutoka wilaya za Morogoro na Mufindi
Mshiriki akichangia mada
Washiriki
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa wahariri na waandishi wa Habari juu ya haki za ardhi na mabadiliko ya Tabianchi.
Bw. Samson Mollel akielezea mbinu shirikishi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi vijijini.
Picha ya pamoja.

No comments:

Powered by Blogger.