LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella afanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Imni Patterson (kulia), na kufanya naye mazungumzo mafupi ofisini kwake hii leo Februari 14, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), akimsikiliza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Imni Patterson (kulia).
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto), akimsikiliza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Imni Patterson (katikati). 
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (katikati), akiwa kwenye mazungumzo mafupi na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Imni Patterson (wa pili kulia).
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.