LIVE STREAM ADS

Header Ads

Machinga Mwanza watofautiana suala la vitambulisho vya JPM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Viongozi wa wafanyabiashara wadogo (machinga) mkoani Mwanza, wamekuwa na mitazamo tofauti kuhusiana na zoezi la ugawaji vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo vinavyotolewa na Serikali kwa gharama ya shilingi elfu 20 kwa mwaka.

Karibu BMG Online TV kujua walichozungumza hii jana Februari 04, 2019 baada ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella kuwakabidhi Wakuu wa Wilaya vitambulisho elfu 55 vya awamu ya pili kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo. Awamu ya kwanza Mkoa Mwanza ulipokea vitambulisho elfu 25. 
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.