LIVE STREAM ADS

Header Ads

Heche achafukwa suala la fidia pamoja na maji ya sumu Nyamongo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche (Chadema), akitoa salamu zake kwenye mkutano wa hadhara wa Waziri wa Madini, Doto Biteko alioufanya katika eneo la Nyamongo wilayani Tarime, Machi 05, 2019 kuzungumzia suala la fidia za wanachi pamoja na utiririshaji maji machafu kutoka kwenye mgodi wa dhahabu wa Acacia North Mara.
Tazana BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.