LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kauli sita konki za Waziri Biteko akiwa Nyamongo wilayani Tarime

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Machi 05, 2019 Waziri wa Madini, Doto Biteko alifanya ziara katika mgodi wa dhahabu wa Acacia North Mara uliopo Nyamongo, wilaya Tarime mkoani Mara.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Biteko- Waliotegesha Nyamongo hawalipwi fidia
Biteko- Acacia wanaonyesha dharau kwa Serikali 
 Biteko- Mheshimiwa Heche, tegesha hulipwi  
Biteko- Nitakuwa Waziri wa kwanza kufunga mgodi mkubwa  
Biteko- Ni bora kusitisha shughuli za mgodi Nyamongo  
Biteko- Tathmini ya fidia ifanyike upya Nyamongo

No comments:

Powered by Blogger.