LIVE STREAM ADS

Header Ads

"Waliotegesha Nyamongo hawalipwi, Acacia wana dharau"- Biteko

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Madini, Doto Biteko, akiwasili katika mgodi wa dhahabu wa Acacia North Mara uliopo Nyamongo wilaya Tarime mkoani Mara, jana Machi 05, 2019. Biteko aliambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa Mara ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Adam Malima.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri wa Madini, Doto Biteko na msafara wake akielekea kwenye eneo linalotiririsha maji machafu kutoka kwenye mabwawa yanayohifadhi maji hayo.
Baadhi ya wakazi wa Nyamongo wakimsikiliza Waziri wa Madini, Doto Biteko (hayupo picha) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari Nyamongo, Kijiji cha Nyangoto, Kata ya Matongo.
Mkuu wa Mkoa Mara, Adam Malima akizungumza kwenye mkutano huo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.