LIVE STREAM ADS

Header Ads

Inauma, lakini hakuna namna, nenda Kibonde, msalimie Ruge

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Maelfu ya wananchi na wakazi wa Jiji la Dar es salaam pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo wa serikali, dini na taasisi mbalimbali wameuaga mwili wa Ephrahim Kibonde ambaye alikuwa mtangazaji wa Clouds FM na baadae mazishi kufanyika katika makaburi ya Kinondoni hii leo Machi 09, 2019.

Kibonde ambaye alikuwa mshehereshaji kwenye mazishi ya aliyekuwa Meneja Vipindi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba jumatatu iliyopita Machi 04, 2019 katika Kijiji cha Kiziru mjini Bukoba, alikutwa na mauti juzi Machi 07, 2019 wakati akikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa Bugando akitokea hospitali ya Uhuru.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.