LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwili wa Ruge ulivyoagwa kishujaa Mjini Bukoba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki, wafanyakazi, wasanii, wananchi pamoja na viongozi mbalimbali nchini kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa kampuni ya Clouds Media Group, Ruge Mtahaba katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera.

Mwili wa marehemu Ruge aliyefariki dunia Februari 26, 2019 unatarajiwa kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele hii leo Machi 04, 2019 katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Kiziru wilayani Bukoba.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, Amina!
#R.I.PRuge #ShujaaMuongozaNjia
BMGUpdates
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.