LIVE STREAM ADS

Header Ads

Masikini Chadema, wanachama wazidi kutimkia CCM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko (CC,M) ambaye pia ni Waziri wa Madini akitoa salamu zake baada ya ibada kwenye kanisa la KKT Usharika wa Furaha Bukombe, Jumbe la Kusini Magharibi, jana jumapili Machi 03, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Biteko (kulia), akimkabidhi mchango wa ujenzi wa kanisa Mchungaji Yohana Mang'ombe wa Kanisa la KKT Usharika wa Furaha Bukombe, Jumbe la Kusini Magharibi (kushoto).
Mkuu wa Wilaya Bukombe, Said Nkumba akitoa salamu zake baada ya ibada hiyo.
Mkuu wa Wilaya Bukombe, Said Nkumba (kulia), akimkabidhi mchango wa ujenzi wa kanisa Mchungaji Yohana Mang'ombe wa Kanisa la KKT Usharika wa Furaha Bukombe, Jumbe la Kusini Magharibi (kushoto).
Washarika wa Kanisa la KKT Usharika wa Furaha Bukombe, Jumbe la Kusini Magharibi (kushoto).
Mbunge Doto Biteko, Mkuu wa Wilaya Said Nkumba, Mchungaji Yohana Mang'ombe na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya jengo jipya la kanisa la KKT Usharika wa Furaha Bukombe, Jimbo la Kusini Magharibi.
Mbunge Doto Biteko akizungumza na wakazi wa Kata ya Katome.
Mbunge Doto Biteko akilakiwa kwa shangwe katika Kata ya Busonzo.
Mbunge Doto Biteko akitoa salamu zake kwenye hafla ya Chama cha Mapinduzi CCM Kata ya Busonzo ya kusherehekea miaka 42 tangu kuasisiwa kwake.
Katibu wa CCM Wilaya ya Bukombe, Ladislaus Soku akizungumza kwenye hafla hiyo.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bukombe, Daniel Machongo akizungumza kwenye hafla hiyo.
Wanachama wapya waliojiunga na CCM wakitokea Chadema wakipokea kadi za CCM.
Wanachama wapya waliojiunga na CCM wakitokea Chadema wakipokea kadi za CCM.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Busonzo akitoa neno kwa niaba ya wenzake waliohamia CCM wakitokea Chadema.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.