LIVE STREAM ADS

Header Ads

Buriani Ruge Mutahaba, watanzania wanakulilia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mtahaba alifariki jana Februari 26, 2019 majira ya saa mbili usiku akiwa hospitalini nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.
Viongozi mbalimbali wakiwemo wa Serikali, watu maarufu wakiwemo watangazaji pamoja na wasanii wameendelea kutoa salamu za pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Ruge.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.