LIVE STREAM ADS

Header Ads

Baraza la Uongozi la Mawasiliano Afrika laketi Jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akifungua hii leo mkutano wa Baraza la Uongozi la Mawasiliano kutoka Chuo cha Raslimali Watu kwa Maendeleo ya Afrika (AFRALTI) kilichopo Jijini Nairobi nchini Kenya. Mongella amefungua mkutano huo unaofanyika Jijini Mwanza kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Isack Kamwelwe.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano huo unaojumuisha nchi za mbalimbali kutoka Afrika Mashariki na Kusini ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Zimbabwe, Msumbiji, Lesotho na Burundi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi James Kilaba akizungumza kwenye mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, akizungumza kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi wa taasisi ya AFRALTI, William Baraza akizungumza kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Baraza la AFRALTI, Algfred Marisa akizungumza kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa nne waliokaa), akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo.
Tazama BMG Online TV hapa chini
Mwanza wapokea vifaa vya Mawasiliano kutoka TCRA
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.