LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jinsi Shirika la WOTESAWA lilivyoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2019

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Veronica Rodrick (kulia) kutoka Shirika la Kutetea Haki za Watoto Wafanyakazi wa Nyumbani WOTESAWA lenye makazi yake Jijini Mwanza, akiteta jambo na mmoja wa mfanyakazi mwenzake kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kwenye uwanja wa Kisesa, Wilaya Magu mkoani Mwanza, Machi 08, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Shirika la WOTESAWA lilitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma kuhusu haki za mtoto mfanyakazi wa nyumbani.
Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2019 ngazi ya Mkoa Mwanza alikuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. 
Pia wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya nchi walihudhuria maadhimisho hayo akiwemo Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya wanawake UN Women Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa UN Alvaro Rodriguez pamoja na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Anders Sjoberg.
Kutoka kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Anders Sjoberg, Mkuu wa Wilaya Nyamagana Dkt. Philis Nyimbi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Mwakilishi Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa UN Alvaro Rodriguez na Mwakilishi wa shirika la UN Women Hodan Addou wakifurahia jambo kwenye maadhimisho hayo.
Taswira kwenye maadhimisho hayo wakati jeshi la Sungusungu Misungwi likitumbuiza ngoma ya kabila la kisukuma.
Taswira kwenye uwanja wa Kisesa wilayani Magu.
Ngoma ya kabila la kisukuma.
Viongozi mbalimbali waliohudhulia maadhimisho hayo.
Sehemu ya wadau mbalimbali waliohudhuria maadhimisho hayo.
Viongozi mbalimbali.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.