LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wafanyakazi Zantel waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2019

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mfanyakazi wa Zantel akichangia mawazo baada ya kusikiliza mada zilizotolewa.

Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel waliopo Dar es Salaam na Zanzibar jana wameshiriki kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2019 kwa kufurahi pamoja na kusikiliza mada za kuwatia moyo, kuwajengea uwezo na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za kikazi na katika maisha yao ya kila siku nje ya kazi. 

Hafla za kuadhimisha siku hiyo muhimu iliyoandaliwa na kampuni ilifanyika katika hoteli ya Epidol Masaki jijini Dar es Salaam na hoteli ya Golden Tulip iliyopo Zanzibar. 
Na Carthert Kajuna
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Zantel , wakiwa katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika hoteli ya Epidol Masaki jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakiwa katika picha ya pamoja katika hoteli ya Epidol.
Wafanyakazi wa Zantel Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho hayo.

No comments:

Powered by Blogger.