LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mkuu awaonya viongozi wa Serikali wanaokwamisha utoaji taarifa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua kikao kazi cha Chama cha Maafisa habari, Uhusiano na Mawasiliano serikalini TAGCO, kinachofanyika katika ukumbi wa B.O.T Jijini Mwanza kuanzia leo Machi 18 hadi 22, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza kwenye kikao kazi hicho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akitoa salamu za wizara hiyo kwenye kikao kazi hicho.
Mwenyekiti wa TAGCO, Paschal Shelutete akitoa salamu za shukrani baada ya ufunguzi wa kikao kazi hicho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto), akimkabidhi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa picha inayoonyesha utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyotekelezwa na Serikali.
Kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella, Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi CC Hamphrey Polepole pamoja na Mwenyekiti wa TAGCO, Paschal Shelutete wakifuatilia kikao kazi hicho.
Baadhi ya Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano serikalini waliohudhuria kikao kazi hicho wakifuatilia ufunguzi huo.
Baadhi ya Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano serikalini waliohudhuria kikao kazi hicho wakifuatilia ufunguzi huo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa nne waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya ufunguzi wa kikao kazi cha maafisa habari, uhusiano na mawasiliano serikali Jijini Mwanza.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.