LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jamani kumbe KICHOCHO ni HATARI sana, jiepushe sasa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kichocho (Schistosomiasis au Bilharzia) ni ugonjwa ambao minyoo midogo ya aina ya Schistosoma inaingia mwilini na kusababisha mwasho wa ngozi katika viungo mbalimbali, homa, udhaifu na baada ya muda damu katika kinyesi na maumivu tumboni.
Tazama BMG Online TV hapa chini
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.