LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani 2019, juhudi bado zinahitajika

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kila mwaka Aprili 25, Mataifa mbalimbali huungana pamoja kuadhimisha siku ya Malaria Duniani na kutoa fursa ya kutafakari afua kadhaa zinazochukuliwa katika kupambana na ugonjwa huo unaopoteza maisha ya watu wengi.

Kwa Tanzania maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Lindi ikiwa ni ngazi ya kitaifa ambapo kauli mbiu ni "Zero Malaria Inaanza na Mimi" ikilenga kuhamasisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo ifikapo 2030.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.