Header Ads

Kheri ya miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Jumapili Apirili 26, 1964 mataifa ya Tanganyika na Zanzibar yaliungana pamoja na kuzaliwa Taifa moja Tanzania hii ikiwa ni ushirikiano baina ya waasisi Mwl. Julius Kambarage Nyerere (Tanganyika) na Sheikh Abein Amani Karume (Zanzibar).

Hii leo Ijumaa Aprili 26, 2019 Tanzania inafurahia miaka 55 ya Muungano huo uliodumu kwa muda mrefu barani Afrika na duniani huku msisitizo mkubwa ukiwa ni Umoja, Upendo na Amani ili Muungano huo uendelee kudumu.

No comments:

Powered by Blogger.