Header Ads

Wadau kukutana jijini Dodoma kwenye Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Wadau wa habari kutoka taasisi mbalimbali za serikali na binafsi wanatarajiwa kukutana jijini Dodoma Mei 2-3, 2019 kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ikiwa ni mara ya pili mfululizo kufanyika jijini humo.

Kwa Tanzania maadhimisho hayo yanafanyika kwa ushirikiano wa karibu na taasisi mbalimbali ikiwemo MISA Tanzania, Ubalozi wa Marekani, Internews, FES, IMS, Umoja wa Mataifa, UTPC, TMF, TEF, UK Aid, TAMWA, MCT, Unesco na Serikali ya Tanzania. #WPFD2019 #Dodoma #Tanzania
#BMGHabari

No comments:

Powered by Blogger.