Ni UPENDO mkubwa, tumuunge mkono Rais Magufuli- MONGELLA
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Ilemela mkoani Mwanza, Dk. Severine Lalika (kushoto), akisaini makabidhiano ya vitambulisho vya wajasiriamali mwishoni mwa mwaka jana. Anayeshuhudia ni Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) pamoja na viongozi mbalimbali.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Ilemela, Dk. Severine Lalika (kushoto) makubaliano ya makabidhiano ya vitambulisho ya wafanyabiashara wadogo (wajasiriamali).
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Ilemela mkoani Mwanza, Dk. Severine Lalika (kushoto), vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akimkabidhi mmoja wa wafanyabiashara wadogo wilayani Ilemela kitambulisho.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: