LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa ataka kila mtu apewe uhuru wa kufanya shughuli zake

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza mwishoni mwa mwaka jana kwenye awamu ya kwanza ya zoezi la kukabidhi vitambulisho elfu tano kwa Wakuu wa Wilaya za Mkoa Mwanza kwa ajili ya kwenda kuvigawa kwa wafanyabiashara wadogo kwa gharama ya shili elfu 20 kwa mwaka kila mmoja.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi akiwasilisha salamu zake kwenye zoezi hilo kwa niaba ya Wakuu wa Wilaya wengine.
Mbunge Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula (CCM), akitoa salamu zake kwenye zoezi hilo.
Mkuu wa Wilaya Misungwi, Juma Sweda (kulia), akipokea vitambulisho vya wajasiriamali kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto).
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto) akimkabidhi kitambulisho mmoja wa wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.