LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mkuu amwakilisha Rais ibada ya kumsimika Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye ibada ya kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Leonard Nkwande iliyofanyika katika Parokia ya Kawekamo, Mei 12, 2019. 

Uteuzi wa wa Baba Askofu Nkwande ulifanywa na Baba Mtakatifu Papa Francis Februari 11, 2019 akichukua nafasi ya Askofu Yuda Thadei Ruwaich aliyeteuliwa kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam.
Tazama BMG Online TV hapa chini
SOMA>>> Matukio na Habari mbalimbali za Injili #PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.