Header Ads

Waziri Mkuu awatoa hofu wanunuzi wa pamba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi mbalimbali waliojitokeza kumlaki katika uwanja wa ndege wa Mwanza ili kushiriki kikao cha wadau wa sekta ndogo pamba kilichofanyika jana Mei 29, 2019 jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wanunuzi wa Pamba, Christopher Gachuma alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba Tanzania, Dkt. Joel Kabisa.
Mkuu wa Mkoa Mwanza akizungumza kwenye kikao cha wadau wa pamba kilichoketi jana kwenye ukumbi wa B.O.T jijini Mwanza.
Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa akitoa salamu za Wizara kwenye kikao hicho.
Kikao cha wadau wa pamba kilijumuisha wawakilishi mbalimbali kutoka Wizara Kilimo, wanunuzi wa pamba, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya pamoja na Wabunge kutoka mikoa inayolima pamba.
Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba Tanzania, Dkt. Joel Kabisa akitoa salamu zake kwenye kikao hicho.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya kufungua kikao cha wadau wa pamba.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa Mwanza.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiagana na Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza, Jumanne Mliro.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa (kushoto) akiagana na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza.
Viongozi mbalimbali mkoani Mwanza wakimuaga Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
**************
Waziru Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na wadau wa sekta ndogo ya pamba katika kikao cha dharura kilichofanyika jijini Mwanza Mei 29, 2019.

Lengo ilikuwa kujadiliana kuhusu msimu mpya wa ununuzi wa zao hilo baada ya wanunuzi kuchelewa kuanza ununuzi wa pamba mbegu kutoka kwa wakulima tangu uzinduzi ufanyike Mei 02, 2019.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.