LIVE STREAM ADS

Header Ads

We Still Standing Strong "bado tumesimama imara"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kila mwaka Juni 13 huwa ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu ualibino na mwaka huu kauli mbiu ni “We Still Standing Strong” ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Morogogo.

Mkurugenzi wa taasisi inayotetea haki za watu wenye ualibino ya “Josephat Torner Foundation Europe”, Josepaht Torner hapa anaeleza maana halisi ya kauli mbiu hiyo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.