LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kiwanda cha USAWA COFFEE kutoa ajira kwa wenye ualibino

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi wa taasisi inayotetea haki za watu wenye ualibino ya “Josephat Torner Foundation Europe”, Josepaht Torner uanzishwaji wa kiwanda cha USAWA COFFEE utasaidia upatikanaji wa ajira kwa watu wenye ualibino na hivyo kuondokana na utegemezo huku bidhaa za kiwanda hicho zikiitangaza Tanzania ndani na nje ya nchi.

Torner aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu ualibino yanayofanyika kila mwaka Juni 13 ambapo mwaka huu 2019 kitaifa yanafanyika mkoani Morogoro.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.