Serikali ya Tanzania yapongezwa kulinda haki za wenye ualibino
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi
wa taasisi inayotetea haki za watu wenye ualibino ya “Josephat Torner
Foundation Europe”, Josepaht Torner akitoa pongezi wa Serikali ya Tanzania kwa
kusimama imara kulinda haki za wenye ualibino.
Ni katika
kuelekea kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu ualibino
yatakayofanyika Alhamisi Juni 13, 2019 (maadhimisho haya hufanyika kila mwaka
Juni 13) ambapo kitaifa mwaka huu 2019 yatafanyika mkoani Morogoro.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: