Header Ads

Tanzania yapiga hatua vita dhidi ya ukatili kwa wenye ualibino

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Juni 13, 2019 Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu ualibino ambapo kitaifa yatafanyika mkoani Morogoro.

Mkurugenzi wa taasisi inayotetea haki za watu wenye ualibino ya “Josephat Torner Foundation Europe”, Josepaht Torner amesema Tanzania imepiga hatua kuzuia ukatili kwa watu wenye ualibino.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.