LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella afungua Baraza la Biashara la Mkoa Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akifungua kikao cha Baraza la Biashara Mkoa Mwanza, leo Jumatatu Juni 17, 2019 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza.

Kikao kama hicho mara ya mwisho kilifanyika Novemba 20, 2013 huku moja ya maazimio yakiwa ni kufanyika kikao cha Baraza la Biashara ngazi ya Wilaya na Mkoa mara mbili kwa kila mwaka lakini changamoto ikawa kwenye utekelezaji.
Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Chritopher Kadio (kushoto) akitoa utambulisho na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (katikati) kufungua Kikao cha Baraza la Biashara Mkoa Mwanza. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wa Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa Mwanza, Elibariki Mmari.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.