Hii hapa fursa nyingine ya upatikanaji wa viwanja jijini Dodoma
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wale wote
wenye maono ya kuanzisha makazi ama biashara katika Mji Mkuu wa Tanzania,
Dodoma wanatangaziwa kwamba zoezi la uuzaji viwanja kwa gharama nafuu katika
eneo la Makula jirani na Mji wa Serikali limeanza rasmi.
Bei za
viwanja ni shilingi 8,000 kwa kila Square Meter moja ambapo mazungumzo yapo kwa
yeyote mwenye nia ya kununua kiwanja/ viwanja vilivyopimwa katika eneo hilo la
Makula huku vikifikika kwa urahisi.
Unahimizwa kuchangamkia fursa hii kwa kuwasiliana na Dkt. Philipo
Zabron kwa nambari za simu 0757 192 216 kwani mahitaji ya viwanja jijini Dodoma
ni makubwa.
Kumbuka viwanja vimepimwa na vinafikika kwa urahisi.
No comments: