Zoezi la uuzaji viwanja jijini Dodoma laanza rasmi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mabibi na Mabwana, wale wote wenye kiu ya kumiliki viwanja
Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, wanatangaziwa kwamba zoezi la uuzaji viwanja
vilivyopimwa katika eneo la Mzani Nala limefunguliwa rasmi.
Ukubwa wa
viwanja ni kuanzia Square Meter 600 hadi 2,000 na vinafaa kwa matumizi ya
makazi na biashara kwa gharama nafuu kuanzia shilingi Milioni 3.5. Kumbuka eneo
hili linafikika kwa urahisi likiwa na miundombinu bora ya mabaraba, maji pamoja
na umeme.
Ili kunufaika
na fursa hii, utalipa asilimia 50 na kumilikishwa kiwanja huku gharama
zinazosalia ukilipa kwa awamu tatu. Wasiliana na Dkt. Danford Muyango kwa
nambari za simu 0752 37 38 99 ama Dkt. Fred Maro kupitia simu nambari 0764 10 92
26 ili nawe umiliki kiwanja jijini Dodoma.
No comments: