LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanafunzi wilayani Bunda waomba mabweni kuondokana na adha za magheto

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kutwa Mihingo iliyopo katika Wilaya Bunda mkoani Mara, wameombwa kujengewa mabweni shuleni hapo ili kuondokana na adha wanazozipata kwenye nyumba walizopanga maarufu kama magheto.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.