LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shule iliyokosa waalimu wa kike tangu 2017 wilayani Bunda "yapelekewa wawili"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Halmashauri ya Wilaya Bunda mkoani Mara imeanza jitihada za kuwapeleka waalimu wa kike katika Shule mbalimbali za Msingi na Sekondari ambazo hazikuwa na waalimu hao kwa muda mrefu.

Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Mwl. Amos Kusaja aliyasema hayo wakati akizunguma na wanahabari siku chache baada ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mihingo kulalamikia ukosefu wa mwalimu wa kike shuleni hapo tangu mwaka 2017.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.