LIVE STREAM ADS

Header Ads

HOJA ZA CAG "Madiwani Misungwi wamtaka Mkurugenzi kujipanga"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Misungwi mkoani Mwanza wameitaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, kujipanga na kuhakikisha hakuna upotevu wa nyaraka za matumizi ya fedha kama ilivyojitokeza kwenye hoja za Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).

Hayo yamejiri kwenye kikao cha baraza maalum la hoja za ukaguzi kilichoketi Agosti 15, 2019 kujadili hoja mbalimbali za CAG kwa mwaka wa fedha 2017/18 licha ya Halmashauri hiyo kupata hati safi.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.