LIVE STREAM ADS

Header Ads

Taasisi ya APHFTA yahimiza wadau kuungana ili kupambana na Malaria

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Chama cha Watoa Huduma Binafsi za Afya Tanzania (APHFTA) kimetoa rai kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za kupambana na ugonjwa wa Malari katika Mkoa wa Geita kuungana pamoja ili kuhakikisha maambukizi dhidi ya ugonjwa huo yanatokomezwa mkoani humo.

Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho, Dkt. Samwel Ogillo, aliyasema hayo Agosti 14, 2019 kwenye kikao cha wadau wa Malaria kilichoratibiwa na taasisi hiyo kujadili mikakati ya pamoja ya kutokomeza ugonjwa huo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Watoa Huduma Binafsi za Afya Tanzania (APHFTA), Dkt. Samwel Ogillo, akizungumza kwenye kikao hicho.
Mganga Mkuu mkoani Geita, Dkt. Japhet Simeo akisisitiza jambo kwenye kikao hicho.
 Mkurugenzi wa Miradi kutoka taasisi ya APHFTA, Elizabert Bonareri akizungumza na wanahabari kando ya kikao hicho.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.