LIVE STREAM ADS

Header Ads

Taasisi ya Benjamin Mkapa yakabidhi vifaa vya kujifunzia uzazi salama

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Afisa Miradi kutoka Taasisi ya Benjamini William Mkapa, Scholastica Komba (kulia) akikabidhi vifaa wezeshi vya kujifunzia uzazi salama kwa Mganga Mkuu Halmashauri ya Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Dkt. Zabron Masatu (kushoto) ili visaidie kutoa ujuzi kwa watoa huduma za afya namna ya kuwasaidia watoto wanaozaliwa na matatizo ya upumuaji pamoja na akina mama wajawazito.
#BMGHabari
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.