LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jumuiya ya UWT Mkoa Mwanza yajipanga kufanikisha ushindi wa CCM 2019/20

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baraza la Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa Mwanza limefanya kikao chake cha kwanza kwa mwaka huu 2019 na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mikakati ya kuhakikisha CCM inaibuka na ushindi mnono kwenye chaguzi zijazo.

Kikao hicho kimefanyika Agosti 10, 2019 katika ukumbi wa CCM Wilaya Magu na kuongozwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa Mwanza, Mama Hellen Bogohe huku mgeni rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya Magu, Dkt. Philemon Sengati.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mwenyekiti wa UWT Mkoa Mwanza, Mama Hellen Bogohe akizungumza kwenye kikao hicho.
 Katibu wa CCM Mkoa Mwanza, Salum Kalli akitoa salamu zake kwenye kikao hicho.
 Mkuu wa Wilaya Magu, Dkt. Philemon Sengati akifungua kikao hicho.
 Wajumbe wa Baraza la Wanawake UWT Mkoa Mwanza wakifurahia burudani kwenye kikao hicho.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.