LIVE STREAM ADS

Header Ads

#LIVE Waziri Biteko afungua Jukwaa la Biashara mkoani Geita


Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Madini, Doto Biteko amefungua Jukwaa la Biashara mkoani Geita lililoandaliwa na chemba ya wafanyabiashara, wenye viwanda na kilimo (TCCIA) Mkoa Geita na kudhaminiwa na mgodi wa GGM, Septemba 16, 2019. Ufunguzi huo umerushwa #Mubashara kupitia BMG Online TV

No comments:

Powered by Blogger.