LIVE STREAM ADS

Header Ads

Zaidi ya asilimia 75 ya wakazi wa mijini wanaishi kwenye makazi holela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Hayo yamebainishwa kwenye warsha kwa wadau mbalimbali kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa waliokutana kujadili maudhui na mapendekezo ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Makazi ya Binadamu pamoja na Sera ya Taifa ya Nyumba.

Warsha hiyo iliyofanyika Septemba 18, 2019 jijini Mwanza ilifunguliwa na Katibu Tawala mkoani Mwanza, Christopher Kadio (TAZAMA HAPA) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.