LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wadau Kanda ya Ziwa wajadili Sera za Taifa za Makazi na Nyumba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wadau mbalimbali kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa wamekutana kujadili maudhui na mapendekezo ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Makazi ya Binadamu pamoja na Sera ya Taifa ya Nyumba.

Warsha hiyo iliyofanyika Septemba 18, 2019 jijini Mwanza ilifunguliwa na Katibu Tawala mkoani Mwanza, Christopher Kadio kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.