LIVE STREAM ADS

Header Ads

Watanzania kunufaika zaidi na Benki ya Akiba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Benki ya Biashara Akiba (Akiba Commercial Bank- ACB) imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu huduma za kifedha ikiwemo umuhimu wa kueweka akiba pamoja na manufaa ya kutumia vyombo vya fedha.


Mkuu wa Idara ya Masoko ya Benki ya Akiba, Dorah Saria ameyasema hayo Oktoba 26, 2019 kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo kwenye kilele cha Wiki ya Akiba Duniani 2019 iliyofanyika kwa Mkoa Mwanza katika uwanja wa Furahisha.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wanafunzi wakiwasilisha ujumbe kuhusu umuhimu wa akiba kwa njia ya wimbo.
Wanafunzi wakitoa burudani ya wimbo kwenye maadhimisho hayo.
Wanafunzi wakieleza umuhimu wa kuweka akiba kwa njia ya wimbo.
Wanafunzi wakionesha igizo kuhusu umuhimu wa kuweka akiba.
Wanafunzi wakionesha igizo kuhusu umuhimu wa kutunza akiba kupitia Benki ya Akiba.
Wanafunzi wakitoa burudani.
Viongozi wa taasisi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Idara ya Masoko Benki ya Akiba, Dorah Saria (wa kwanza kushoto) wakiwa kwenye maadhimisho hayo.
Wanafunzi wakifuatilia maadhimisho hayo.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.