LIVE STREAM ADS

Header Ads

Matukio muhimu ambayo wanahabari huyapuuzia kwenye habari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Oktoba 26, 2019 Shirika la SBFIC Tanzania (Savings Banks Foundation for International Coorperation) kwa kushirikiana na washirika wengine ikiwemo Benki ya Akiba liliadhimisha Siku ya Akiba Duniani katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Fuatilia video kutazama matukio ambayo wanahabari huyapuuzia kwenye habari zao.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Wanafunzi mkoani Mwanza wakitoa burudani kwenye maadhimisho hayo.
 Wanafunzi wakieleza umuhimu wa kuweka akiba.
 Wanafunzi wakitoa ujumbe kuhusu umuhimu wa kuweka akiba kwenye maadhimisho hayo.
 Wanafunzi wakitoa burudani kwenye maadhimisho hayo.
 Wanafunzi wakitoa igizo kuhusu umuhimu wa kuweka akiba.
Meneja wa Benki ya Akiba Mkoa Mwanza, Hariet Bujiku (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya Ilemela, Dkt. Severine Lalika (kushoto) kuhusu huduma zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo kibubu kwa ajili ya kuwajengea watoto uwezo wa kutunza akiba .
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.