Shuhudia fujo isiyoumiza "Tamasha la Urithi 2019" jijini Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kilele cha Tamasha la Urithi wa
Mtanzania (Urithi Festival 2019) kitaifa kinafanyika katika viunga vya Rock
City Malla jijini Mwanza kuanzia Oktoba 31, 2019 hadi Novemba 02, 2019 mgeni
rasmi akitarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
No comments: