LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jaji Mstaafu Bukuku aagwa kitaaluma jijini Mwanza "majaribu yalikuwa mengi"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Fuatilia picha mbalimbali katika hafla ya kitaaluma ya kumuaga Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe. Agnes Bukuku (katikati) baada ya kustaafu iliyofanyika Novemba 01, 2019 katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.

Kumbuka ni utaratibu wa kawaida kwa majaji kusomewa kesi mahakamani wanapostafu ili kuondolewa namba yao ya ujaji.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Majaji mbalimbali wa Mahakama Kuu Tanzania.
 Viongpzi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella (wa pili kulia), Mkuu wa Wilaya Nyamagana Philis Nyimbi (wa kwanza kulia), Mkuu wa Wilaya Ilemela Dkt. Severine Lalika (wa kwanza kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu.
  Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 Ndugu, Jamaa. Marafiki na Wafanyakazi wakiwa kwenye picha ya pamoja na Jaji Mstaafu Agnes Bukuku baada ya kuga kitaaluma.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.