Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango Misungwi yatembelea mgodi wa Busolwa
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ziara ya Kamati
ya Fedha, Uongozi na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya Misungwi mkoani
Mwanza iliyofanyika Novemba 31, 2019 katika mgodi wa dhahabu “Busolwa Mining Limited” ambao unatarajiwa
kuanza rasmi uzalishaji mwaka 2020.
#BMGHabari
Wajumbe wa Kamati hiyo wakikagua maeneo mbalimbali ya mgodi wa Busolwa wilayani Misungwi.
Meneja wa Mgodi wa Busolwa wilayani Misungwi, John Jackson akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya Misungwi waliotembelea mgodi huo.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
No comments: