Tuzo ya Mwanza Quality Wines yapata Baraka za viongozi wa Serikali
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella ameipongeza kampuni ya Mwanza Quality Wines inayozalisha mvinyo
wa matunda jamii ya Power Banana kwa kuibuka mshindi wa jumla wa tuzo za
kampuni 100 bora za kati (Top 100 Awards) mwaka 2019/20.
Ni baada ya
tuzo hiyo inazotolewa chini ya uratibu wa kampuni ya ukaguzi wa hesabu za fedha
KPMG kwa kushirikiana na Mwananchi Communications Limited (MCL) kupokelewa
katika uwanja wa ndege wa Mwanza Novemba 01, 2019 ikitokea jijini Dar es salaam
na kufikishwa mbele ya wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa Mwanza
(RCC).
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
No comments: